- 歌词
- 专辑列表
Leteipa the King
-
Kwetu ni Loitokitok
ft Muna Party
Fred Ozzo entertainment Muna party Vampk Brown City under mount Kilimanjaro
Ni zaidi ya Sherehe Loitokitok ilivyonilea Nakumbuka nyare nikienda kuogelea Kudish kwa kamale nikipata za kuotea Alafu mi na Bore Gatuthu tunamchezea So hata nikiwa far natamani kuwa kwetu juu hakuna penye Raha zaidi yetu Tena hakuna njaa kilimo ndo kazi yetu Mpaka wasambaa wanaotea kutwa zetu Pia imekuza watu wa maana salute kwake Musa mshauri wa vijana Aliyetufunza maisha nikung'ang'ana na Cha mtu ukigusa utapatwa na laana Truly najivunia maumbile ya Nyumbani miti na wanyama na vyote viliyvondani ni sehemu yenye baraka na Tena inavutia na ipo kwenye mpaka wa Kenya na Tanzania
I always look so pretty Juu kwetu ni Ltk Ukipenda the brown City Kila kitu ni TIK Amani Na upendo mazingira yakuvutia we sing like (iyaiyooh aaah iyaiyooh) (iyaiyooh aaah iyaiyooh) (iyaiyooh aaah iyaiyooh) (iyaiyooh aaah iyaiyooh)
Asubuhi nikiamka, ni ero sobha navalia shuka nadungia nkamoka nachukua rungu, mbio machungani kijana wa Sasa mpenda maisha ya zamani Sato pekee ndo mi hutokea Ili wangu mabeshte nipate kuwagotea Hali za siku mingi kujuliana tukipiga hadidhi na kuchekeshana 更多更详尽歌词 在 ※ Mojim.com 魔镜歌词网 All I can say is that kwetu ni kwa kisure maana Everyday ya God watu hukuka tour Wanapenda shangashanga na traditional mingaro Nakuipiga picha mlima Kilimanjaro Baada ya kutalii hawawezi kusahau Huwa wanakumbuka wanapokuwa wako Na ni wazi akili na roho zao husema Hiyo place ni poa , lazima turudi tena
I always look so pretty Juu kwetu ni Ltk Ukipenda the brown City Kila kitu ni TIK Amani Na upendo mazingira yakuvutia
All people from far mnaoniskiza My brother my sister mzungu mwafrika Ukifeel unataka kuburudika Bila kukawia Masai land fika Ni home of stars utadhani laleague Patana na Vampk akunase kwa kuimba Mamboleo na mashairi ya kuburudisha And I kwakuchana ninafunika
Njooni sote kwa pamoja Nyumbani niwapeleke tutakuta, mamorani wako hapo kangeleshe Upewe supu ukunywe na pembe Tupoge story tukisubiri kakichwa kaive
(iyaiyooh aaah iyaiyooh) Ltk to Kimana (iyaiyooh aaah iyaiyooh) Illasit to Nkama (iyaiyooh aaah iyaiyooh) Base ya base to Kimana (iyaiyooh aaah iyaiyooh)
-
|